Burudani
RECAP:Alikiba na Scott Maphuma wana Collabo?? na Bien itatikisa sana

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO amezungumzia Kuhusu Alikiba kukutana na Scott Maphuma pia kufanya Collabo na Bien kutoka Kenya na pia kuingia Studio na Bruce Melody.
Ameeleza namna watakavyotikisa baada ya hiyo Collabo kutoka na kusema itatikisa sana.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.






