Burudani

RECAP:Diamond amepitwa na Baraka Joshua Spotify, inaleta ishara gani?? – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia namna Msanii kutoka Uganda Baraka Joshua alivyompita Diamond Monthly Listener Spotify.

Anasema Wasanii wetu Tanzania waachane na Trend za Youtube maana Platform za muhimu za Muziki wapo chini sana.

Kwa sasa Frika Mashariki Sophia Nzau kutoka Kenya anaongoza akiwa na Milioni 6, nafasi ya pili Baraka Joshua milioni 1.7 na Diamond nafasi ha tatu milioni 1.6

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents