Burudani
RECAP:Harmonize amelikamata soko kwenye Show Bizz(Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz anasema kwa sasa Harmonize ndio amelikamata game ya Bongo Fleva kwenye upande wa Showbizz.
Anaongeza kwa sasa Harmonize ameshalijua game linataka nini na anajua namna ya kutengeneza Story ili aweze Ku-trend.
Anasema kuwa matukio yote haya Harmonize ana jeuri kwa sababu anaandaa Album yake ambayo itakuja kutikisa Afrika Mashariki.
Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa