Burudani

RECAP:Harmonize kwanini amemlipa Sarah milioni 150?? asiachie wimbo – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia kuhusu Harmonize kumlipa Sarah zaidi ya milioni 150 za Kitanzania.

Ametueleza sababu ya Harmonize kumlipa Sarah ambaye alikuwa mke wake na pia amemshauri baada ya kutangaza kuachia wimbo katikati ya mwezi wa Ramadhani.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents