Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzMuziki

RECAP:Kiki ya Hemed na Lulu Diva imeenda kuliko Movie yao (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia KIKI ya Hemed na Luludiva ambayo inahusiana na movie yao.

Anasema hii ni moja ya Kiki ambayo ilisukwa kwa akili kubwa mno, watu wengi hawakujua ni kiki mpaka pale walipoona wapo kwenye Press pamoja wakizindua Movie.

Anaongeza kuwa hii kiki inahusu Movie yao lakini watakaonufaika ni Hemed na Luku diva na sio movie yao ambayo ndio sababu.

Inaonekana kiki imepewa Airtime kubwa kuliko kazi, leo ukienda mtaani ukiwauliza watu kuhusu movie ya Hemed na Luludiva asilimia kubwa hawajui.

Moja ya kitu ambacho wasanii wa Bongo Movie wanakwama ni kufanya Promo ya Movie zao na ndio maana watu wengi ngumu muzifuatilia.

Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

Cameraman and Editor @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents