Burudani
RECAP:Marioo atachukua nafasi ya Diamond&Alikiba Bongo(Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz anasema Marioo ndio msanii bora kwa sasa Tanzania.
Anasema album yake ina funzo kubwa sana kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Quality ya muziki wake imewashangaza wengi.
Kwa namna anavyotengene numbers kwenye digital platforms mbalimbali inatoa greenlight kwamba Marioo ndio Mfalme ajae wa Bongo Fleva.
Mbali na hilo Marioo ametangaza kufanya Show ya Kifalme WareHouse tarehe 24 ya january hii ambapo ameahidi atafanya show yenye quality ya hali ya Juu.
Unakubaliana na @el_mando_tz kwamba Marioo ndio msanii bora kwa sasa Tanzania??
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa