Bongo5 ExclusivesBurudani

RECAP:Nandy ameshuka Kimataifa ameridhika?? (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia na kupongeza Nandy kurudisha Tamasha lake la Nandy Festival.

Anasema kuwa litakuwa msaada mkubwa kwa wasanii kukutana na mashabiki zao kwani wasanii wengi Bongo hawapati show mikoani.

Ameongeza kuwa Nandy kwa sasa Kimataifa kuna namna ameshuka sana tofauti na miaka miwili nyuma ambapo alikuwa akifanya vizuri zaidi nje ya Mipaka ya Tanzania.

Lakini pia alitangaza Remix na Usher Raymond kutoka Marekani ya DAH imeishia wapi?? Aliwadanganya mashabiki wake??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents