RECAP:Niffer&Diva walikosea kwenye kanuni hizi Kimaisha (Video)
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezumgumzia sakata la Niffer na Diva ambapo walitiwa kwenye mikono ya Sheria kwa kuvunja Sheria.
Kosa lao ni moja tu, walichangisha michango bila Kibali kutoka Serikali na hii yote ni kutokana na kutokujja Sheria pia Elimu juu ya Mambo ya Kiserikali.
@el_mando_tz anaongeza kuwa licha ya Wao kuingia kwenye mikono ya Serikali ila pia walikosea kufuata sheria za Kimaisha.
Anasema kwenye Kitabu cha THE 48 LAWS OF POWER kilichoandikwa na Robert Green kuwa Rules nyingi sana na Rules namba moja inasema NEVER OUTSHINE THE MASTER ikiwa na maana kuwa usifanya jambo ukamzidi na kumeibisha Boss au Kiongozi wake.
Usifanya jambo ukataka sifa na kumuona Kiongozi wako hafai au hana uwezo wa Kulifanya jambo hilo lwa Ufasaha, ndicho walichofanya Niffer na Diva.
Jambo hili wao wametolewa kama mfano lakini kama kijana lazima uwe na uwezo wa kupambanua mambo na kuuliza pale ambapo hujui jambo.
Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa