Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond Platnumz
RECAP:Sean Paul kweli hamjui Diamond?? (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amzengumzia kuhusu kauli ya Sean Paul ya kusema Hamjui Diamond.
Anasema kuwa watu wanapenda kukuza mambo madogo na kuyafanya yawe makubwa wakati lilikuwa suala dogo sana.
Anasema kuwa baada ya kusikiliza mahojiano ya Sean Paul na namna alivyojibu swali inaonekana kabisa Sean Paul hakuelewa swali aliloulizwa.
Uchambuzi wote upo katika akaunti tetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa