Bongo5 ExclusivesBurudaniFahamu
RECAP:Wasanii waliususia Msiba wa Marco wa Zabron Singers(Video)
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amewazumgumzia Zabron Singers ambao wameondokewa na msanii wao Marco.
Anasema kuwa Zabrone Singers inawezekana ndio likawa kundi la muziki wa Injili lililofanikiwa zaidi Afrika Mashariki kutokana na ushawishi wao.
Anasema kuwa katika jambo la kushangaza ni kuona msiba wake umekuwa wa kawaida haijapewa heshima na wasanii wenzake.
Anaongeza wasanii wa Injili ni kama waliususa msiba wa Marco zaidi ya Joel Lwanga pekee ambaye alisafiri mpaka Kahama kwenye mazishi.
Uchambuzi mzima wa @el_mando_tz upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa