AfyaBongo5 ExclusivesBurudaniDiamond Platnumz

RECAP:Zuchu kwa Ngoma ya Wale wale Mashabiki watamzoea (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia ngoma mpya ya ZUCHU ya WALE WALE aliyomshirikisha Boss wake Diamond Platnumz.

Anasema wimbo huo una ujumbe mkubwa sana na inawezekana ukawa miongoni mwa nyimbo zenye Inspiration lakini watu hawajaupa sikio kwa sababu Zuchu ameachia nyimbo mfululizo.

Anasema kuwa ili watu waendelee kumzingatia Zuchu hada akitoa wimbo na Diamond lazima wabadilishe aina ya Uimbaji waje na style nyingine mfano ya majibizano.

Style wanayoimba kwenye nyimbo zao nyingi wengi wanaiona ya kawaida kwa sababu inaonekana kama imezoeleka.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameramna & Editor @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents