Kocha wa Saudi Arabia, Herve Renard aliyeiongoza kushinda 2-1 dhidi ya Argentina, amewahi kushinda AFCON 2012 akiwa na Zambia na AFCON 2015 akiwa na Ivory Coast.
Alifundisha Zambia kuanzia 2008-10, Angola 2010, USM Alger 2011, Zambia 2011-13, Ivory Coast 2014-15 na Morocco 2016-19.