Burudani

Rema aonyesha jeuri ya pesa

Staa wa muziki kutoka Nigeria Rema amezua taharuki kwa Clip inayosambaa mitandaoni ikionyesha akimpa mtu zawadi ya Birthday mafungu ya pesa.

Pesa hizo ni Dola na ameonekana akimzawadia kijana aliyejulikana kwa jina la Crayon ikiwa ni zawadi tu ya Birthday yake.

Unahisi anampa kweli au ndio yake mambo yetu nakupa hela kwenye Camera ila ikizima rudisha pesa zangu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents