MahojianoVideos

Reytox: Nimeacha kazi kwa Mange Kimambi, sikuhusika na chochote (+ Video)

Baada ya kupata sehemu nyingine ya kufanya kazi @reytox_ binti wa @sakinalyoka_ ameeleza aliyopita baada ya kukamatwa na Polisi akisingiziwa ndio aliyepost video ya @professorjaytz kwenye mtandao wa Mange.
“Ile video sikupost mimi na nilikuwa sijui chochote nilikaa ndani wiki tatu, Mange alisaidia sana wakati akiwa Polisi.
Sasa @reytox_ ameanzisha kipindi chake katika kampuni iliyopo Kenya ikiwa chini ya @christinalewisoffical

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents