Burudani

Rhino wa The Mafik ampongeza Hamadai kufanya nyimbo na Alikiba

Kupitia Instagram yake msanii huyo wa Bongo Fleva amempongeza msanii mwenzake Hamadai kwa kufanya nyimbo nzuri na Alikiba ambayo inaitwa #Niamini.

Rhino ameandika kuwa ” Acha nikukumbushe ukweli ambao hautoisha kwenye akili na maisha yangu .

Mbali na kuwa Tulikuwa kundi moja Mimi nimmoja ya mashabiki wako wakubwa Ninao amini kwenye kipaji chako na unalijuwa hilo.

Kazi nzuri sanaaa nimeisikiliza mara nyingi sanaaaaa na naendelea kuisikiliza na kuitazama .

Hongera Kwa hatua kubwa ya kukamilisha moja ya ndoto zako nakutimiza moja kati ya ahadi zako juu ya kipaji chako .
Nakuamini na nitaendelea kukuamini mbali na yote

keep doing @hamadaitz_

New hit track #Niamini @hamadaitz_ ft @officialalikiba audio and visual out now.

#Future”

Ikumbukwe kuwa Rhino na Hamadai walikuw akwenye kundi moja la The Mafik pamoja na marehemu Mbalamwezi.

Related Articles

Back to top button