Michezo
Ricardo Momo afunja ukimya juu ya TFF

“Kwa namna sarakasi zinazoendelea kwenye uchaguzi huu wa TFF ni wazi sasa pale TF hakuna tena kiti cha Urais bali Mfalme. Kama kweli hawataki kuonekana ni Wafalme basi wabadili zile kanuni za Uchaguzi”
.
RICARDO MOMO, Mchambuzi WASAFI