BurudaniDiamond PlatnumzMuziki
Ricardo Momo kwa uchungu atoa neno zito sakata la Mkubwa Fella na Diamond

RICARDO MOMO AFUNGUKA SAKATA LA MKUBWA FELLA & DIAMOND
Kaka wa Diamond Platnumz amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya sakata linaloendelea juu ya Diamond Platnumz na Familia ya Mkubwa Fella, anadai kuwa kwa sasa ni kama kumdhalilisha Mkubwa Fella kwenye hili lionaloendelea.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongofive
Imeandaliwa na @witnessflavian24 & @johnbosco_mbanga






