Burudani

Rich Mavoko hakamatiki, aachia ngoma nyingine mpya ‘WEZELE’ ya kufungia mwaka (+video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ameachia tena ngoma mpya inayokwenda kwa jina la WEZELE, hii ikiwa ni miezi miwili tu imepita tangu aachie wimbo wake wa Naogopa ambao nao bado unafanya vizuri kwenye vituo vya Radio na Tv hapa Tanzania.

Rich Mavoko tangu atemane na Lebo ya muziki ya WCB miezi minne iliyopita, mpaka sasa ameachia nyimbo 5 ambazo ni Ndegele, Naogopa, Navumilia, Hongera na Wezele.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents