BurudaniHabari

Rick Ross aomba collabo na Navy Kenzo, aitaka ngoma ya Sip n Whine

Akiwa na collabo moja tu kwa wasanii kutoka Afrika Mashariki ambaye ni @diamondplatnumz @navykenzoofficial huenda wakapata bahati ya kufanya kazi na rapa kutoka nchini Marekani @richforever

Siku ya jana wakiwa wanaongea Insta live aliomba kufanya remix ya ngoma ya Sip n Whine ya @aikanavykenzo

Baadae akaomba waicheze ili watu wanaowafuatilia live waijue ngoma hiyo.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents