Afya
Ripoti ya Corona: Serikali itoe takwimu sahihi za ugonjwa wa COVID-19 kwa umma na WHO
“Serikali itoe takwimu sahihi za ugonjwa wa COVID-19 kwa umma na WHO, @wizara_afyatz ikamilise mwongozo mpya wa matibabu, serikali ihakikishe matumizi ya tiba asili na tiba mbadala yanazingatia misingi ya kisayansi”- Prof. Said Aboud M/Kiti wa Kamati.