Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Roma amekuwa mchambaji, apewe page ya udaku – Suma Mnazaleti

Suma Mnazaleti anadai kuwa kauli aliyoitoa Roma Mkatoliki kwa wasanii wennzake yeye anaona kama Roma amepagawa na maisha ya huko anapoishi akimaanisha Marekani.

Roma aliwaonya wasanii ambao wakirudi kwenye game wanasema wamekuja kuichangamsha game baada ya kuona imepoa sana.

Suma Mnazaleti anasema kwa upande wake anaona Roma amekuwa mchambaji mitandaoni anaona bora apewe page ya udaku.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents