Roma ampongeza Alikiba kwa kutoa album isiyo na maneno mabaya

Kupitia ukurasa wake wa Twitter rapa huyo wa Bongo Fleva ambaye yupo Marekani ameandika kuwa:-

Album Nzima Ya Mwana, Miwa 16 Na Sijasikia Neno #iingize #ipekeche #ifinyieKwaNdani #ilambe #ipepete #isugue #ichachafye #ikalie #imanulie #itekenye #isosomole #ipinde #ichomoe #ibinyebinye #imwagie #ikatikie Artists Wa Kuimba Kuna Cha Kujifunza Hapa!! Au Nisiwapangie Maisha?

Related Articles

Back to top button