Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Roma Mkatoliki na Wakazi wararuana mtandaoni

Wakali wawili wa kurap kunako industry ya muziki wa Bongo Fleva  Ibrahim Mussa alimaarufu Roma Mkatoliki pamoja na msanii mwenzake Webiro Wassira alimaarufu Wakazi wamepishana kauli mtandaoni.

Wakali hao wamepisha kupitia masuala ya kimuziki huku wakiwa na mengi wanayoyazungumzia ikiwemo ufanyaji wa muziki kupitia album mjadala ulianzishwa na wadau wa Twitter.

Baada ya mjadala kuwa mrefu Wakazi alitaja marapa wake 15 wakali na kwenye orodha hiyo Roma hakuwepo wadau wakamuuliza ndipo mjadala ukaanza.

Wakazi aliandika “Hayupo Top15. Prof Jay, Sugu, Fid, FA, Unju, Jaymoe, Solo, Uno, Ngwea, Joh, Chid, Byser, AY, Hashim, Nature, Inspektah, Afande Sele, Darassa, Maalim Nash, Mawenge, nk. Hawa ni 20 in no particular order (mostly) na hajatoboa; na sijaweka skilled MCs like Langa, FreshlikeUhh, etc”

Roma naye akamwambia “My Brother  @Wakazi Kisimani Album Ina 4Years But Ina 15.2K Na Kuna Manyimbo Kama 18!! Huyu Mdogo Wako Stamina Album Haina Hata Miezi 6 Ana 6.5M Na Ana Tunyimbo 13 Tu!! Hiyo Ni @BoomplayMusicTZ Sijaenda YouTube Bado!! KUNA CHA KUJIFUNZA HAPA KAKA…..YOU KNOW HOW MUCH I LOVE YOU”

Hayo yanaendelea Twitter, soma maoni yao na wewe tos maoni yake’

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents