Burudani
Rommy Jons agawa zawadi kwa watumiaji wa usafiri wa Faras (Video)
Dj na msanii wa filamu @romyjons weekend hii alitembelea Mlimani City jijini Dar Es Salaam katika duka la KFC na kugawa zawadi kwa wateja ambao walifanya eneo hilo kwa kutumia usafiri wa @farastanzania .
Rommy ambaye ni balozi wa usafiri huo alidai wameamua kuwapa wateja wao zawadi mbalimbali ikiwa ni sambamba na huduma bora.