Burudani
Romy Jones aweka wazi sababu za Wasafi Festival kutokufanya vizuri Kenya (+ Video)
Na kuhusu wasanii wa Kenya kudai nyimbo za Tanzania zinapendelewa kwao

Romy Jones aweka wazi sababu za kusemekana Wasafi Festival kutokufanya vizuri Kenya na kile wanachosema wasanii wa Kenya kuwa nyimbo zao hazichezwi kwao kuliko nyimbo za Kitanzania

By Ally Juma.