Ronaldo aanza mazoezi kwa mara ya kwanza baada ya kusajiliwa Man United

Mshambuliaji mpya wa Manchester United @cristiano tayari ameanza mazoezi yake ya kwanza na wachezaji wenzake wa Mamchester United.

Haya ni mazoezi ya kwanza kabisa kwa Ronaldo tangu ajiunge na Manchester United na huenda akaanza katika mtanange wa wikendi hii dhidi ya Newcastle United.

Related Articles

Back to top button