Michezo
Ronaldo athibitisha kutarajia kupata watoto wengine mapacha na mpenzi wake Georgina
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mchezaji huyo wa Manchester United na timu ya taifa ya Ureno amethibitisha hilo kwa kupost baadhi ya picha akiwa na mpenzi wake huyo Georgina Rodriguez raia wa Argentina na kuandika kuwa:-Delighted to announce we are expecting twins👶🏻👶🏻. Our hearts are full of love – we can’t wait to meet you ❤️🏠
#blessed