Michezo

Ronaldo atishia kuondoka Old Trafford, United ikishindwa kufuzu Champions League

Wawakilishi wa Cristiano Ronaldo wameiambia Manchester United kwamba mshambuliaji huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 36 anapania kuondoka Old Trafford msimu wa joto ikiwa klabu hiyo itashindwa kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa msimu ujao.

Cristiano Ronaldo 'will LEAVE Man United if they fail to qualify for the  Champions League' | Daily Mail Online

Kwa mujibu wa The Sun, wameeleza wasiwasi wao kuhusu kushuka kwa kiwango cha klabu hiyo. Ronaldo amebakiĀ  “amechanganyikiwa” na “akiwa na wasiwasi” na hali ya sasa ya Old Trafford na ataondoka mwishoni mwa msimu kama klabu hiyo itafeli kufuzu michuano ya Ligi ya Mabingwa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents