Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United na timu ya taifa ya Ureno @cristiano amezawadiwa gari na mpenzi wake Georgina.
@cristiano amezawadiwa gari aina ya Rolls Royce Cullinan ya mwaka 2022.
Gari hiyo ina thamani yq dola 335,350/= sawa Tsh 782,036,200/=
Hii ni zawadi ya sikukuu ya Christmas na imeonyeshwa leo boxing day.
Wewe mpenzi wake amekuletea zawadi gani leo??
Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United na timu ya taifa ya Ureno @cristiano amezawadiwa gari na mpenzi wake Georgina.@cristiano amezawadiwa gari aina ya Rolls Royce Cullinan ya mwaka 2022.
Gari hiyo ina thamani yq dola 335,350/= sawa Tsh 782,036,200/= pic.twitter.com/y9ejiaK9ZF
— bongo5.com (@bongofive) December 26, 2022