
Kufikia 21 Novemba 2022 mtu anayefuatiliwa zaidi ni mwanasoka Cristiano Ronaldo mwenye wafuasi zaidi ya milioni 500, na mwanamke anayefuatiliwa zaidi ni nyota wa televisheni ya ukweli Kylie Jenner mwenye wafuasi zaidi ya milioni 371.
Akaunti ya chapa ya Instagram kwenye jukwaa ndiyo akaunti inayofuatiliwa zaidi kwa ujumla, ikiwa na wafuasi zaidi ya milioni 557. Nike ni akaunti ya pili ya chapa inayofuatiliwa zaidi, ikiwa na wafuasi zaidi ya milioni 249.
Mbali na hao mwanasoka mwingine Lionel Messi anafuatia baada ya Ronaldo kwa kuwa na wafuasi wengi Instagram akiwa na wafuasi milioni 375.
Rank | Username | Owner | Brand account |
Followers (millions)[2] |
Profession/Activity | Country/Continent |
---|---|---|---|---|---|---|
1 | ![]() |
568 | Social media platform | ![]() |
||
2 | @cristiano | Cristiano Ronaldo | 500 | Footballer | ![]() |
|
3 | @leomessi | Lionel Messi | 375 | Footballer | ![]() |
|
4 | @kyliejenner | Kylie Jenner | 372 | Television personality, model and businesswoman | ![]() |
|
5 | @selenagomez | Selena Gomez | 357 | Musician, actress, and businesswoman | ![]() |
|
6 | @therock | Dwayne Johnson | 347 | Actor and professional wrestler | ![]() |
|
7 | @arianagrande | Ariana Grande | 339 | Musician, actress and businesswoman | ![]() |
|
8 | @kimkardashian | Kim Kardashian | 333 | Television personality, model and businesswoman | ![]() |
|
9 | @beyonce | Beyoncé | 282 | Musician, actress and businesswoman | ![]() |
|
10 | @khloekardashian | Khloé Kardashian | 280 | Television personality and model | ![]() |