Ronze amtosa bosi wake Shilole, asema ameshindwa kumsaidia (Video)

Msanii wa muziki @ronze_officiall ameachia wimbo wake mpya ambao alishirikirikiana na bosi wake wa zamani wa Shishi Gang ambaye kwa sasa hawafanyi tena kazi pamoja.

https://www.instagram.com/tv/CP8XlcbhSNX/?utm_medium=copy_link

Muimbaji huyo amesema bosi wake huyo wa zamani ameshindwa kumsogeza sehemu ambayo alihitaji huku akidai kwamba kwa muda huu alitakiwa kuwa sawa na msanii kama Zuchu pamoja na Ibrah kutoka Konde Gang.

Written and edited by @yasingingitu @abbrah255

Related Articles

Back to top button