BurudaniHabari

Rosa Ree kuachia album ya GODDESS (+Video)

Rapper wa kike kutoka katika kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva Rosa Ree ametangaza kuachia album yake ya ‘GODDESS’ yenye jumla ya track 17 huku nane akiwa nane (8) akiwa amewashirikisha wasanii kutoka nchi mbalimbali kutoka ndani na nje ya Bara la Afrika.

Album hiyo ya GODDESS inatarajiwa kuzinduliwa kesho siku ya Jumamosi Novemba 26, 2022 Terrace Lounge iliyopo Slip Way Masaki.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents