AfyaBongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabariLifestyleMakalaMarimba Music ChartMichezoSiasaTechnologyTragedy

RRECAP: Mwijaku aomba msamaha kusema Diamond anachukua nyota ya Jay Melody, ana uhakika gani??

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia kauli tata ya Mwijaku kuwa Diamond amechukua nyota ya Jay Melody ndio maana amepotea Kimuziki.

Anasema inabidi Mwijaku achunge sana kauli zake anazozitoa kwa sababu msanii kama Jay Melody anamhitaji sana Diamond kwenye muziki wake.

Anaongeza kuwa Kauli kama hizi zitasababisha Diamond aache kuwapa nafasi wasanii wachanga lakini pia ugomvi wa msanii husika na mashabiki wa Diamond.

Mwijaku amemkosea Diamond na Jay Melody awaombe msamaha kwa kauli hiyo kwani Diamond anaweza kuhisi labda Jay Melody amemtuma Mwijaku.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents