FahamuLifestylePromotion

Sababu tatu za kuchagua kusafiri na Emirates msimu huu

SHIRIKA la Ndege la Emirates, ni kampuni ya Ndege inayomilikiwa na serikali ya Dubai ya Falme za kiarabu, iliyoanzishwa zaidi ya miaka 35 iliyopita. Kwa sasa Emirates inamilki Ndege 300, zikiwemo Boeing A380 yenye uwezo wa kubeba abiria 500 kwa Safari moja.

 

(Emirates Airline’s Airbus A380 lands for the first time at Schiphol Airport on August 1, 2012. The A380 is the largest and heaviest passenger plane in the world and can accommodate over 500 passengers. AFP PHOTO / ANP / LEX VAN LIESHOUT **NETHERLANDS OUT** (Photo credit should read LEX VAN LIESHOUT/AFP/GettyImages)

 

Emirates A380 interior, emirates a380 economy class, airbus a380 emirates, emirates planes inside, airbus a380-800, airbus a380 seating, a380 emirates business class, airbus a380-800 emirates

Emirates imekua ikiendesha Safari za ndege zaidi ya 3500, katika miji 150 kwenye nchi 80 duniani kote, ikiwemo Ndege mara tatu kwa wiki kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, moja kwa moja mpaka jijini Dubai.

Mnamo mwaka huu, wa 2020, changamoto kubwa za usafiri zilijitokeza duniani kutokana na janga la virusi vya Corona, (COVID 19) , na kusababisha nchi nyingi kusimamisha safari za anga ili kudhibiti maambukizi ya virusi hivyo.

Baada ya kufunguka kwa maeneo mengi duniani ya Safari za ndege, zikiwemo Emirates kurudi angani, kumekua na hatua nyingi za kuwalinda wasafiri na wahudumu wa Ndege. Kipekee, SHIRIKA la Emirates limeongoza kuleta mabadiliko chanya katika usafiri wa ndege wakati huu. 

Mojawapo ni kulazimika kwa kila Msafiri kuonyesha Cheti cha kupimwa Corona na kupatikana kutokua na virusi hiyo. Kipimo lazima kiwe kimefanyika sio zaidi ya masaa 96 kabla ya Safari. Vilevile, kila msafiri hupewa’Travel Hygiene Kit’ yenye vifaa muhimu kama barakoa, sanitiser, na gloves, ili kuimarisha usalama kwa wasafiri wakati wote wa safari.

Wahudumu wote katika Safari za Emirates, wamebadilisha muonekano kwa kuvaa nguo aina za PPE, ambazo ni maalum kwa kukinga virusi vya aina yoyote ikiwemo Corona, ambapo, huwalinda sio tu wahudumu Bali kuakikisha usalama wa wateja wote wanaosafiri kwa SHIRIKA la Emirates.

 

Sababu ya tatu, ni ndege zote za Emirates, zimewekewa mfumo wa HEPA filter, ambazo husafisha hewa iliyopo ndani ya ndege, kila dakika tatu. Filter za HEPA husaidia kusafisha bakteria na virusi hewani na kuhakikisha wateja wote kupumua hewa safi,  na salama, na kupelekea kuimarisha vita dhidi ya Virusi vya corona katika usafiri huku wasafiri wakiburudika safarini.

Pale utakapokua tayari, chagua kusafiri na Emirates, ili kuhakikisha unasafiri kwa usalama na starehe!

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents