Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzMahojianoMichezoMuziki

Sababu ya Diamond kujiondoa Cheka Tu, bado tunahitaji atusaidie (Video)

Co-founder wa Cheka Tu ambaye ni mdogo wake na Mchekeshaji @coy_mzungu Crey ametaja sababu zilizomfanya Diamond afanye nao kazi.

Akipiga story na @el_mando_tz kwa mara ya kwanza ametaja sababu zilizomfanya Diamond ajiondoe Cheka Tu.

Anaongeza kuwa mpaka sasa wanamuhitaji sana Diamond afanye nao kazi maana aliwasaidia kwa kiasi kikubwa sana.

Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman & Editor @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents