Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabari

Sakata la Diamond, Zari na Fantana limezima show ya Alikiba na Ayra Starr

Kupitia kipidi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ametusanua kuwa kile kilichofanywa na Diamond na mwanadada Fantana kwenye Young Famous & Africans ni Script (imetengenezwa)

Ametoa sababu zake kuwa hakuna kitu kitaonekana kwenye movie bila kupangwa na huenda hata Zari alikuwa anajua nini kinaendelea kwenye movie.

Kitendo cha Zari kuja mtanndaoni na kuandika huenda ni maelekezo au wameshauriana na Diamond kwa lengo la kutanngaza biashara yao (Reality show) yao.

@el_mando_tz ameongeza kuwa siku zote Diamond anabaki kuwa mfalme wa Kiki Afrika Mashariki, msanii pekee mwenye uwezo wa kutengeneza Attention na kila mtu akaannza kumfuatilia.

Baada ya tukio lake hilo na Zari kila mtu alianza kuwazungumzia wao na kuacha kuongelea kingine, hata show ya Alikiba na Ayra Starr kuna namna fulani watu hawakuipa sikio.

Kibiashara kwa diamond inaenndelea kumuweka kwenye njia salama sana kwa sababu anauza bidhaa zake vizuri kabisa.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents