Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Sallam kuhusu kuukataa mkono wa Harmonize ‘Sipendi unafiki’

Akiongea kuputia Radio ya MjiniFm @sallam_sk ameeleza kuwa sababu ya kuukata mkono wa @harmonize_tz siku ya msiba wa mke wa @babutale ni kwa sabahu @harmonize_tz alikataa mkono wake offcamera

Ila baada ya @harmonize_tz kuona Camera akajifanya anampa mkono na ndio maana aliukataa.

@sallam_sk ameongeza kuwa watu wote wa @kondeGang akiwepo @ibraah na meneja wa Harmonize Chopa aliwapa mkono ila kasoro Harmonize tu na ni kwa sababu hapendi unafiki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents