Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabari

Sallam; Mambo yote namalizana na Diamond kwa simu

Baada ya maneno kuwa mengi mtandaoni kuwa je @sallam_sk bado ni meneja wa @diamondplatnumz au laah maana siku hizi hapo karibu kabisa kama zamani.

@sallam_sk ameweka wazi kuwa kwa kuwa alikuwa anasimamia radio yake alikaa mbali kidogo ila aliomba kwa @babutale

@sallam_sk ameongeza kuwa mambo yote yanayoendelea mfano kuhusu showz za @diamondplatnumz na mambo mengine huwa wanamalizana kwa simu na si vinginevyo.

Kwa maneno hayo @sallam_sk amethibitisha kuwa bado yupo WCB na hajaondoka.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents