Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari
Sallam; Sijaondoka WCB bali niliomba kwa Tale nisimamie radio
Akiongea kupitia mjini fm ameeleza yote hayo na kuongeza kuwa, kama @harmonize_tz anataka kufanya naye kazi basi arudi WCB au yeye afungua lebo amsaini Harmonize.
@sallam_sk pia amesimulia tukio lake na @harmonize_tz la kusalimiana Zanzibar.