BurudaniHabariMahojiano

Sallam Sk; Kuwa meneja wa Harmonize ni kujishushia heshima

Kwanza @sallam_sk ameweka wazi kuwa yeye bado meneja wa @diamondplatnumz kwa maana hiyo amejibu lile swali kuwa ukaribu wake na @diamondplatnumz sio kwa ubaya ni kwa sababu alikuwa anasimamia radio yake.

Pili amevunja ukimya kuwa kwenda kuwa meneja wa @harmonize_tz pale Konde Gang ni kujishushia heshima.

@sallam_sk ameeleza kuwa kama @harmonize_tz anataka kufanya naye kazi basi arudi WCB au yeye afungua lebo amsaini Harmonize.

@sallam_sk pia amesimulia tukio lake na @harmonize_tz la kusalimiana Zanzibar.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents