BurudaniHabari

Sallam Sk: Kwahiyo ameua lebo ameanzisha kundi, wanajiita Mgambo mtu mbili

Hiyo ni kauli ya Meneja wa @Wcbwasafi_, @Sallam_SK anahoji kwamba kuna msanii ameua lebo yake na kufungua kundi…👀

Kauli ya Sallam ina ukweli wowote inamlenga @harmonize_tz baada ya kutangaza kuachana na wasanii watatu kutoka kweli lebo yake.

Wasanii aliotangaza kumalizana nao ni @officialcheed @officialkilly_tz na @anjella_tz lakini miezi kadhaa nyuma alitangaza kuachana na @countrywizzy_tz

@harmonize_tz ametoa kauli ya kuwa amebaki yeye na @ibraah_tz kwenye lebo yake.#Bongo5Updates

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents