Bongo5 ExclusivesHabariMichezo

Samatta: Alikiba alinifanyia fitna sana, voicenotes ninazo ntazitoa

Katika mchezo ambao ulifanyika mnamo tarehe 18 mwezi wa 6 katika dimba la Benjamini Mkapa jijini Dar Es Salaam akti ya timu Samatta na timu Kiba na matokeo kuwa Timu Kiba kuondoka na ushindi kwa mikwaju ya penati.

Ifahamike kuwa ndani ya dakika 90 mchezo huo ulimalizika kwa sare ya 3-3.

Baada ya timu yake kunyang’anywa kombe na @officialalikiba @samagoal77 amedai kuwa @officialalikiba amempiga fitna sana hadi kupelekea timu yake kufungwa.

Samatta alimshutumu Alikiba na kusema kuwa amemfanyia sana fitna hadi kulepelekea kufungwa mchezo ule.

Related Articles

Back to top button