Habari
Sambaza Shangwe yamwaga mapesa na bima Dodoma

PLC, (katikati) akikabidhi kiashiria cha bima ya afya kwa Kaimu Manga Mkuu wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma, Dkt. Baraka Mponda – (kulia) na Muwakilishi Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt.Simon Chacha (kushoto) katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kupitia kampeni inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’ mwishoni mwa wiki.
Kupitia kampeni hi jumla ya akina mama na watoto wachanga 2,000 watakabidhiwa bima kubwa ya afya kupitia VodaBima kutoka Vodacom itakayotumika kwa kipindi cha mwaka mmoja ikiwa ni zawadi ya upendo kutoka kampuni hivo kwenda kwa watanzania katika msimu huu wa sikukuu.
Masta Shangwe kutoka Vodacom Tanzania PLC, (katikati) akikabidhi kiashiria cha bima ya afya kwa Kaimu Mganga Mkuu wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma, Dkt. Baraka Mponda – (kulia) na Muwakilishi Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Simon Chacha (kushoto) katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kupitia kampeni inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’ mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni hii jumla ya akina mama na watoto wachanga 2,000 watakabidhiwa bima kubwa ya afya kupitia VodaBima kutoka Vodacom itakayotumika kwa kipindi cha mwaka mmoja ikiwa ni zawadi ya upendo kutoka kampuni hiyo kwenda kwa watanzania katika msimu huu wa sikukuu.