Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Saraphina kuhusu kumuiga Vaneesa Mdee, nafurahi kufananishwa na msanii kama Vanessa

Staa wa Bongo Fleva @saraphina__tz amezungumzia collabo yake na @harmonize_tz ambayo @harmonize_tz aliiomba kupitia Instagram. Akizungumza na @el_mando_tz @saraphina__tz pia ameeleza kuhusu kuiga aina ya uimbaji wa @vanessamdee

Ikumbukwe kuwa Harmonize aliomba kufanya collabo na Saraphina kupitia Instagram yake kuwa ameipenda ngoma yake ya UPO NYONYO na Saraphina ameeleza kuwa kila kitu tayari.

Mbali na hilo Saraphina amejibu kuhusu kufananishwa na msanii aliyetangaza kustaafu muziki Vanessa Mdee, Saraphina amejibu kuwa anafurahi sana kufananishwa na msanii kama Vanessa Mdee.

Saraphina ameongea hayo na bongo five wakati anafanya show katika Tamasha la Mziki Mnene mkoani Mtwara.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents