Habari
Sauti yetu nguvu yetu yachachamaa Msichana Initiative

Tunafurahi kufanya kazi na wasichana 20 ndani ya miaka mitatu (3) kutoka Mikoa minne (4) Dar es salaam, Tabora, Dodoma na Pwani (Bagamoyo) ambao wamekuwa vinara wa kupinga ukatili katika jamii zao kupitia mradi wetu wa #SautiYetuNguvuYetu
“Kama Shirika tunategemea mtaendeleza umoja wenu wa kupaza sauti kwenye masuala ya Uongozi, Usawa Kijinsia na Afya ya Uzazi na kuwa mfano bora kwa wasichana wengine” @rebecagyumi – Mkurugenzi Mtendaji, Msichana Initiative. #SautiYetuNguvuYetu




