Michezo
-
Yanga walazimishwa sare na Polisi Tanzania
Goli la Pius Boswita dakika ya 90 linaipatia pointi moja Polisi Tanzania mbele ya Yanga SC kwenye Uwanja wa Sheikh…
Read More » -
Bruno Fernandes yupo tayari kumalizana na United
Kiungo wa kati wa Manchester United Mreno Bruno Fernandes, 26,yuko tayari kumalizana na Mashetani hao wekundu kwa kusaini mkataba mpya…
Read More » -
Coastal 2 – 1 Yanga: Mchezaji wa zamani wa Coastal auchambua mchezo huo (+Video)
Licha ya ubora wa kikosi cha Wananchi kunako Ligi Kuu msimu huu wa 2020/21, lakini leo wameshindwa kulinda rekodi yao…
Read More » -
Yanga yachezea kichapo cha goli 2 – 1 mbele ya Coastal Union Mkwakwani
Historia imeandikwa katika Uwanja wa Mkwakwani Tanga, #yangasc Wanapoteza hapa mbele ya Coastal Union kwa jumla ya magoli 2 –…
Read More » -
Misimu miwili mfululizo Yanga hajaondoka na alama tatu uwanja wa Mkwakwani dhidi ya Coastal Union (+Video)
Yanga ipo jijini Tanga kuzisaka alama tatu muhimu kwelikweli hii leo mbele ya mwenyeji wake Coastal Union mchezo wa Ligi…
Read More » -
Uchambuzi: Al-Merreikh Vs Simba SC, kipi mnyama afanye kuondoka na pointi 3 (+Video)
Mambo ambayo Mnyama Simba SC atatakiwa kuhakikisha anakuwa nayo ndani ya kikosi ili kuondoka na pointi tatu muhimu mbele ya…
Read More » -
Monalisa atangazwa kuwa Msemaji Simba Queens
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara Simba Queens, wamemtangaza rasmi Msanii wa filamu Bongo, Monalisa kuwa Msemaji wa…
Read More » -
Tukio zima jinsi alivyokamatwa na polisi, aliyekuwa rais wa Barcelona Bartomeu (+ Video)
Rais wa zamani wa Barcelona Jose Maria Bartomeu anashikiliwa na polisi nchini Hispania baada ya kuhusishwa na tuhuma ya kurubuni…
Read More » -
Uchambuzi: Simba Vs JKT Tanzania Ligi Kuu (+Video)
Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa Uwanja wa Mkapa ukiwa ni mzunguko wa 22 pale Mabingwa…
Read More » -
Ahsanteni Tanzania kwa ukarimu wenu – Mamelodi Sundowns
Maimba ya soka nchini Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns Football Club wamewashukuru Watanzania kwa ukarimu wao katika kipindi walichokuwa hapa nchini…
Read More » -
Kinda anayesumbua vichwa vya Real Madrid, Man City na Juventus
Real Madrid wamejiunga na Manchester City pamoja na Juventus katika kuonyesha hamu ya kiungo wa kati wa Sassuolo na Itali…
Read More » -
Mshambuliaji Yanga, Ditram Nchimbi atimiza mwaka bila kufunga goli
Mshambuliaji wa Mabingwa wa Kihistoria Ligi Kuu soka Tanzania Bara Young Africans, Ditram Nchimbi amefikisha mwaka mmoja bila kufunga goli…
Read More » -
Mbadala wa Mourinho yupo tayari, ni swala la muda tu
Kocha wa RB Leipzig, Julian Nagelsmann amedaiwa kuwa yupo tayari kujiunga na Tottenham kurithi mikoba ya Jose Mourinho kama timu…
Read More » -
African Lyon wajipange Vs Simba kombe la Shirikisho- Abbas Pira (+Video)
Mabingwa wa Nchi Simba SC leo hii wameapa kumteketeza African Lyon baada ya kuyachanua makucha yake mbele ya vigogo wa…
Read More » -
Vigezo vitatu kuitwa Taifa Stars na kocha Kim Poulsen (+Video)
Kikosi cha @taifastars_ kitakachocheza michezo miwili ya Kirafiki ya Kimataifa na Kenya pamoja na michezo ya Kufuzu AFCON dhidi ya Equatorial Guinea…
Read More »