Bongo5 ExclusivesBurudani
Sensema ya Rayvanny na Harmonize hii hapa, nani katisha zaidi?? (Video)

Collabo yao ilisubiriwa kwa zaidi ya miaka minne, fainally imetoka tayari usiku huu.
Unawapa asilimia ngapi CHUI & TEMBO kwenye ngoma yao ya pamoja SENSEMA??
Baada ya kusikiliza Verse zao zote nani katisha zaidi??
Swipe kuwasikiliza wote.
https://www.instagram.com/p/C8K-826tR5A/