Serikali haijakataza barakoa – Rais Magufuli

Rais Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kuwa makini na barakoa wanazovaa kwani zipo nyingine ambazo sio salama huku akiweka wazi kuwa wachukue tahadhari zaidi ikiwemo kujifukiza kwani hata wasaidizi wake wameugua na wamepona.

Related Articles

Back to top button
Close