serikali yajipanga kuboresha miundombinu ya umeme nchini (+Video)

Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema serikali inakamilisha ujenzi wa msongo wa Kilovoti 132 wenye urefu wa km 395 kutoka Tabora hadi Kigoma kupitia Nguruka, mradi huu utagharimu fedha za ndani kiasi cha shilingi bilioni 69 na utakamilika mwezi Oktoba 2022.

Kuangalia video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button