Habari
Serikali yatangaza kiama cha Matapeli (+Video)
”Nataka nitangaze kiama cha Matapeli kwenye mitandao na nitaliomba Bunge lako litusamehe kidogo, kwenye hili tutafumba macho kidogo hata kwenye zile haki za msingi, kwa sababu yako mambo yanaudhi, kwa hiyo leo natangaza kiama cha jambo hili, tumejipanga vizuri tutawaomba wenzetu wa polisi.”-Nape Nnauye Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari akijibu hoja hiyo.